MLEVi Mmoja
JF-Expert Member
- Jun 29, 2019
- 8,514
- 15,050
We endelea kuunguza mapafu na mdomo uendelee kunuka na kukohoa hovyoUsifananishe fegi na vitu vya ajabu. Yani walevi mara watukane, walale mitaroni, wajinyee, wabebe bar maids[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Pombe kitu cha ajabu sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu mnakuwa na jasho fulan hvi mnatoka na harufu mbaya mnapoteza hadi sauti
Sent using Jamii Forums mobile app