Yupi bora, mwanaume anayeacha pesa au anayenunua mahitaji yote mwenyewe?

Yupi bora, mwanaume anayeacha pesa au anayenunua mahitaji yote mwenyewe?

Mwanaume anayeacha pesa nyumbani na kuacha nafasi ya matumizi kupangwa na mke ndiye mwanaume bora kabisa kwa matumizi ya nyumbani mwanamke ana phd yake tangu eden
Hilo jambo linamgawanyiko kuanzia kiiman..! Mfano waislamu anatakiwa anunue vitu aweke ndani.

Twende kimtaa mtaa Pia lina mgawanyiko kutokana na Akili ya mwanamke na zama zenyewe...!

UNAWEZA KUACHA PESA MWANAMKE AKAWA HAJIELEWI ZIKAWA ZINAISHIA KWENYE MICHEZO NA VIKOBA HAPO BALAA....!

KWA ZAMA HIZI JAZA VITU NDANI KISHA MPE PESA YA ZIADA TU ILA VITU VIWEPO NDANI KAMA KWELI UNATAKA MAENDELEO
 
MIMI NANUNUA NAWEKA NDANI, WANAWAKE WA SASA SIO WAPIKAJI.
 
Back
Top Bottom