Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Big up sana, nimeelewa point yako [emoji109]Katika kukua kwangu, Mzee alikua ananichukua kwenda sokoni kuhemea kila alipokua anaweza! angehemea kila kitu, ila bado angeacha pesa ya kutosha ya matumizi, pia hakua anauliza sana vitu vinaishaje labda n.k, Nadhani ni kulingana na jamii tuliyoishi kua chakula kinapikwa kujumuisha na waliokuepo kama mgeni, ndugu, majirani, marafiki waliofika nyumbani kututembelea n.k hvyo hakukua na bajeti rasmi kua chakula kila siku kinapikwa kwa ajili yetu tu!
Mimi pia napenda familia yangu niende nayo hivihvi, haijalishi mke anafanya kazi au la!. ila hatakosa pesa ya matumizi(posho/pocket money) kisa tu nimeshanunua chakula! HAPANA KABISA.
hahhaahah, unachosema ukweli.Inategemea una Mke wangu wa aina gani kuna mwanamke kula sio kipaumbele sasa ukimuachia hela ya kula kwa mfano 300k
Katika hali ya kushangaza sana unaweza shangaa unakula mchicha pekee kila inapofika trh 15 kuendelea
Hlf sio kwa ubaya utashangaa anakujazia mapazia mapya na vyombo vipya kwenye ileile budget ya kula...
Sio kwamba vyombo hamna au mapazia hamna ila sio ana vipaumbele vyake
Wa hivyo ndugu yangu nunua kilakitu then mpe walau 150k imsaidie kwenye mambo yake.....
Kwa ujumla kumpa budget ya jiko mke ni jambo zuri.Mo nanunuaga lita 10 mafuta,gunia mkaa,Gas,mpunga gunia na unga kilo 50 hlf nampa budget.Sasa siku nayo mpa nashangaa kaniletea shati na sendo mpya[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji31][emoji31].Mara kanunua stand mpya ya viatu eti ya zmn ni fashion ya zmn.Week ijayo anaanza kujipigisha story yaani hela ya mwez huu yote nishanunulia vitu.Najikuta tena natoa 100k mwezi uishe vzr
Mjue mke wako,ijue budget yako.Balance mambo
Kuepusha hili mnapaswa muwaachie na hela ya matumizi binafsi. Hii iwe tofauti na ile ya chakula.Kuna wanawake si wezi wakiachiwa pesa hawana wazo hata chembe la kuiba watanunua kila kitu sawa sawa, sasa wala wenye tabia ya wizi ogopa kabisa! Ukimuachia 400,000 kwa siku anawaza aibe ngapi kwa siku/mwezi ili apeleke kwenye vikoba
HahaaaaKuna wanawake si wezi wakiachiwa pesa hawana wazo hata chembe la kuiba watanunua kila kitu sawa sawa, sasa wala wenye tabia ya wizi ogopa kabisa! Ukimuachia 400,000 kwa siku anawaza aibe ngapi kwa siku/mwezi ili apeleke kwenye
Kwann alalamike unapo nunua mahitaji mwenyewe, huenda iyo pesa anataka aipangue awe anaifanyia mengine usiyo yajua.Habari za saizi wakuu,
Poleni kwa majukumu ya kila siku moja kwa moja niende kwenye point.
Kati ya hawa ni yupi mzuri zaidi, mwanaume anaeacha pesa ya matumizi nyumbani na mwanamke ndio anaepanga matumizi au mwanaume anaenunua kila kitu cha ndani na kama kuna matumizi ya ziada yakubidi uombe pesa kwa kutolea maelezo.
Umetisha Sana kwa hiyo bajeti ya kipato cha kuunga unga,uko sahihi sana
Hahaha, umenichekesha,Kwani Mwitore anasemaje.
Sikilizeni nyie vijana... mwanaume jabali na wa kweli kama sisi wakongwe hufanya yote. Unanunua mahitaji yote muhimu kwa jumla unavibwaga ndani hapo. Afu kuna vitu vingine havinunuliki kea jumla. Unatoa bulungutu unamrushia wife kitandani... unampa busu moja mwanana na kauli ya kiumeni "tutaonana tena tarehe kama ya leo mwezi ujao"Habari za saizi wakuu,
Poleni kwa majukumu ya kila siku moja kwa moja niende kwenye point.
Kati ya hawa ni yupi mzuri zaidi, mwanaume anaeacha pesa ya matumizi nyumbani na mwanamke ndio anaepanga matumizi au mwanaume anaenunua kila kitu cha ndani na kama kuna matumizi ya ziada yakubidi uombe pesa kwa kutolea maelezo.
Mmm, hapo naona umezidisha mkuu,Ahsante Mkuu
Hakuna nilipozidisha au kupunguza/kubana zaidi?
Maoni yako muhimu tafafhali
Isije kuwa namtesa Mtoto wa Watu au kumnyanyasa kwa hizo bajeti zangu
Mmm, hapo naona umezidisha mkuu,
Au umemwagiza na nyikgine awe ananunua tofari kidogo kidogo?
Wanawake wanapenda anaeacha pesa.Habari za saizi wakuu,
Poleni kwa majukumu ya kila siku moja kwa moja niende kwenye point.
Kati ya hawa ni yupi mzuri zaidi, mwanaume anaeacha pesa ya matumizi nyumbani na mwanamke ndio anaepanga matumizi au mwanaume anaenunua kila kitu cha ndani na kama kuna matumizi ya ziada yakubidi uombe pesa kwa kutolea maelezo.