NguoYaSikuKuu
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 681
- 1,020
- Thread starter
- #21
Wenzetu CEO ni mtu muhimu sana.1. MTU akipata u-CEO anaona in zamu yake nayeye ya kula
2. Mi naona shida pia iko kwa wanaowapa u-CEO. Wanatumia vigezo gani kuwapa huo u CEO?
3. MTU anakutafutia mademu unampa shavu, best yako, mkwe, mfia chama, mpiga kampeni hodari, machawa unawapa u CEO. Ni sawa kama wanaweza lakini unaweza kukuta hawawezi. Au wanaweza kuwa wanaweza lakini fika wanajua hujawapa shavu sababu ya kuweza kazi bali hayo mambo mengine. Hapo wataharibu tu
4. Hao wanaowaweka ma CEO shida iko kwao zaidi. Vigezo dhaifu na usimamizi dhaifu. Lasivyo nakupa kazi kama huwezi nakutoa. Hivyo yaani
Ni kwamba sisi mtu akiwa kwenye nafasi hawazi na aliyemteua hawazi ni mambo yanaenda tu imradi.
Ingekuwa ni ulaya au USA , mtendaji mkuu wa DART angekuwa zamani kashajiuzulu au kufukuzwa.