Yupi G.O.A.T wa upinzani mpaka sasa, na kwanini?

Mjukuu wa kigogo

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2023
Posts
445
Reaction score
1,094
Wakuu napenda kujulishwa ni mgombea yupi kutoka vyama vya upinzani aliyewahi kuichachafya CCM vibaya sana katika chaguzi kuu zilizopita tangu mfumo wa vyama vingi ulipoasisiwa 1st July,1992 kati ya wafuatao:

1: Augustine Mrema
2. Dkt. Wilbroad Slaa
3. Zitto Kabwe
4. Edward Lowassa
5. Seif Sharrif Hamad
6.Tundu Lissu

Hapa namaanisha The Greatest of all the Times(G.O.A.T).Toa na sababu
 

Attachments

  • FB_IMG_1695380956984.jpg
    21.7 KB · Views: 3
  • FB_IMG_1695380927828.jpg
    14.4 KB · Views: 2
  • FB_IMG_1695380866036.jpg
    11 KB · Views: 2
  • FB_IMG_1695380839457.jpg
    26.1 KB · Views: 2
  • FB_IMG_1695381264143.jpg
    19.3 KB · Views: 2
Maalim Seif unamfanisha vipi na hao wengine? Hujui siasa.

Maalim Seif ndio mshindi halali wa chaguzi zote za Zanzibar tangu kuanza uchaguzi wa vyama vingi wa 1995.

Kwa Tanzania record anashilia Lowasa kura million 6 plus, haijawahi kutokea.

Mgombea wa UKAWA uchaguzi ule kama hukushinda ubunge au Udiwani achana na siasa hukubariki wala haikufai kabisa.
 
Sawa mkuu
 
Uthibitisho?
 
Kabwe hakutakiwa kuingia hapo, yani ni sawa na kujaribu kulinganisha uwezo wa predators kisha kwenye maelezo yako umchomeke mbuzi.
 
Lowasa pekee ndiye aliyeifanya ccm ikose usingizi[emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…