wakuu yupi jembe hapa, kati ya msanii anayetoa single moja tu na kubeba tuzo 6 na yule anayetoa karibia ya single 10 within a week na kuambulia tuzo 2 tu, binafsi nasema aliyebeba tuzo sita kwa single moja ndio jembe. sijui mwana jf mwenzangu unasemaje hapa?
Hata Mimi Nakuunga Mkono Kwa Asilimia120.Anaetoa Single1 Tuzo6 Ndie Noma.Anaebisha Mchawi!
He wamehamia huku, ule mdole wenu hautoki kwenye tundu lake mtahama nalo. Dadeki, mtanyooka mwaka huu.
Hahahaha eti nyimbo 10 within a week = tuzo 2
Hahahaha eti nyimbo 10 within a week = tuzo 2
Hahahaaaa nimemiss sana hizi thread zako zinazowachefuaga majirani.
Mie burudaaani tu.
Hii Inastahili Kuingizwe Kwenye Kitabu Cha Giness
sasa kama nae angetoa hizo single kumi ina maana angepata tuzo 60. kimahesabu ni kwamba,single 10 times 6 = tuzo 60
mtanyooka tu na doleee la kati
kiba kwenda kuchunga tembo na swala
kiba kwenda kuchunga tembo na swala
za kimataifa mbona hamziongelei....Teh Teh Teh Teh