Yupi kati ya hawa alikuwa muigizaji bora kwako?

Jackie Chan all the way... Aisee that man apewe sehemu yake kwenye chinese and american museums, I still watch rush hour 1,2 & 3. all the time
Police story usizisahau asee

Hasa ile namba 3, anawapeleka mafunzoni kwenye godauni, kumbe majambazi walikuwa wanafanya yao, basi wale madogo mapolisi wakawa wanajua utani, kumbe wanauliwa kweli, Jack anakuja kujua baadae sana, ALILIA KAMA MTOTO. Ni boonge la movie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…