Yupi kati ya hawa alikuwa muigizaji bora kwako?

Yupi kati ya hawa alikuwa muigizaji bora kwako?

Samuel Jackson ananiachaga hoi, movie yake hawezi acha kusema mother&&#&&'
Kuna manukato yake yametoka yanaitwa "Mazaf**ka" na yanagombaniwa hatari. Pia amepata hatimiliki ya sauti yake akitamka "mazaf***ka" na tayari kuna emoji na katuni zinatumia hiyo sauti. Mwamba yuko vizuri sana 😁
 
Don kuna ile movie yake inaitwa 14 blades hii ata nikiinyona Mara 100000, pia kuna Ip Man na kuna Ongback 3 ni moto
Don katika hizo IP man hasa ya kwanza na ya pili siyo mchezo.

Tony jaa ukiachana na ong bak kuna ile Tom yum goong nayo ilikuwa ya moto sana siku hizi sijui kawaje anaweka nywele ma breach bana.
 
Back
Top Bottom