Vito Corleone
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 2,418
- 5,257
What you talking about alikuwa?Kama Denzel,still ni Actor mkali,maybe Bruce Willis,na Chuck Norris ndio sijawaona waona kwenye A list movies.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenye hiyo orodha hayupo mbona😂😂😂Vani dame
Namkubar sana Arnold!
cd za juzi nyie wa miaka 2000,wengine toka enzi za mikanda ya tape😁Umenikumbusha wakati huo nanunua cd
sasa nfanyaje na namkubali😂😂Kwenye hiyo orodha hayupo mbona😂😂😂
Kwahiyo merlin ilitoka kwenye mikanda ya tape? Shida ya kukremu kua kila mtu wa mwaka 2000cd za juzi nyie wa miaka 2000,wengine toka enzi za mikanda ya tape😁
Tangu lini ma mchungaji?Nimeokoka bhana
Undugu wenu udumuasante kwa kunipea wa kufanana nae😂
AmeeeeenUndugu wenu udumu
Tangu juzi ba mchungaji🥴Tangu lini ma mchungaji?
Mbona van dame hayupo? Katika movie za kitambo lakini mpaka leo bado naziangalia kuna The terminator ile ya kwanza kabisa adui Reese halafu kuna universal soldiers ya van damme na dolph
Arthur pendragonIn the land of myth,and time of magic,the destiny of the great kingdom lies on the shoulders of a young man,,his name is>>>>>>>> MERLIN....
Pakua the kings land ,lucifer the morning star, na emerald city .