Yupi kati ya hawa ambaye ameitikisa dunia?

TheDreamer Thebeliever

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2018
Posts
2,490
Reaction score
3,584
Habari wadau!

Hivi binadamu gani au mtu gani mashuhuri unaamini ameitikisa dunia mpaka tunasema hakika huyu pengo lake halitokaa lizibike?

Wapo wachache ila unaweza kumtaja wako mfano Pele, Maradona, Michael Jackson, Michael Jordan,CR7 ,Messi n.k?

Je, yupi ambaye unaweza sema hakika huyu alikuwa Mungu mtu maana kuna story nilisikia kuna watu walikuwa mashuhuri mpk wakawa wanaabudiwa?
 
Leonardo da vinci
The man himself, an architect, engineer, sculptor, painter, designer na mambo mengine mengi kama anatomy, ana codes kibao ambazo hadi kesho hazijapatiwa ufumbuzi jamaa ni Genius!

Tatizo lake moja kubwa inasemekana alikuwa ni shoga na hakuna kumbukumbu yeyote kama aliwahi kuwa na mke na watoto
 
Kwenge Orodha yako nazani Michael Jackson alitikisa Dunia, ana record za kipekee kabisa na pia kwenye harakari za Black Movement alichangia pakubwa sana kwa Wazungu kuanza kuwaelewa watu weusi,
 

Sidhan kama kuna mtu atamfikia huyu jamaa..watu walikuwa wanamuabudu ikafikia stage ana wake 11 masuria wasiohesabika na bado mwamamke yeyote anajitoa kwa mwamba anapiga tu maana Mungu alimruhusu mpaka ikawa kero kwake maana kuna wengine madem wabovu ila wanajitoa kwake inabidi apige...

Jamaa haendi vitani ila wajinga wakipigana huko wanamletea robo ya mali daah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…