TheDreamer Thebeliever
JF-Expert Member
- Feb 26, 2018
- 2,490
- 3,584
- Thread starter
- #41
Kweli kabisa hata hivyo ni mtu ambaye ametikisa dunia katika zama zangu wngn sijawaona hata cjapata soma historia zao😂Kwenge Orodha yako nazani Michael Jackson alitikisa Dunia, ana record za kipekee kabisa na pia kwenye harakari za Black Movement alichangia pakubwa sana kwa Wazungu kuanza kuwaelewa watu weusi,