Yupi kati ya hawa ambaye ameitikisa dunia?


Hakuna hata mmoja....Hao ni entertainers hawawezi kutikisa dunia ,waliotikisa dunia ni watu wa aina ya kina Osama Bin Laden ,Carlos ,Noriega The Real Noreaga!!!
 
Kila mtu na Fani yake. Watu wa muziki watasema wao, Kikapu watamtaja wao, Singeli watamtaja wao...

Ila Newton na Einstein vile vichwa shikamoo.
Hawa Ni level nyingine.... Halafu nilichokuja kugundua Kuna watu Mungu anawashusha kwa kusudi Maalumu... Maana unakuta hata Elimu ya darasani Ni ya Kawaida tuu. Hebu Mtazame huyu wa Leo ELON MUSK... wa Tesla inc .... Ni mtu was Kawaida anachukulia wazo katika uhalisia..
 
hiyo tunaita power of mind.

akili ya binaadamu inaaribiwa sana na mitihani ya darasani,kama kipimo cha uwezo mzuri.

ila mtu akiamu kuiacha akili yake ifanue kazi,majibu mtayapata tu.
 
hiyo tunaita power of mind.

akili ya binaadamu inaaribiwa sana na mitihani ya darasani,kama kipimo cha uwezo mzuri.

ila mtu akiamu kuiacha akili yake ifanue kazi,majibu mtayapata tu.
Umeongea Point Mkuu hi mifumo ya Elimu inavuruga Sana Talanta za watu Bora hata kwa Wenzetu kidogo wanaweza kusoma wanaopenda.... Huku kwetu Majanga
 
hata mungu ukimkufuru cha moto utakiona.
 
Yesu alikua kabla ya chochote kuwako (mwanzo) wakati dunia ikiwa utupu na ukiwa, hivyo hakai level 1 na uliowataja

Yohana 1:1
[1]Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu.
Wenye dini za mapokeo wamenza[emoji2211]
 
hiyo tunaita power of mind.

akili ya binaadamu inaaribiwa sana na mitihani ya darasani,kama kipimo cha uwezo mzuri.

ila mtu akiamu kuiacha akili yake ifanue kazi,majibu mtayapata tu.
Shida shule tunapimwa uwezo wa kukariri na sio mengineyo.. elimu yetu ya kibongo bongo inatuangusha sana, ukinitutumua ukaja nakaubunifu kadogo basi unaundiwa zengwe mf aliyetengeneza helkopta(sijui wamemficha wapi huyu), kuna mwamba nilisikia ametengeneza bunduki wakamtia ndani (only in bongo land) tunausudu vya kununua vya kutengeneza wenyewe tunapiga vita..
Kuna jamaa mwingine uko sijui mkoa gani nilisikia katengeneza umeme wa kinyesi kanza kusambazia wanakijiji wenzie mahal ambapo tanesco hawajapeleka nguzo, akaundiwa zengwe bada ya kukanae chini kuona anasaidiwa vipi na serikali ipate mapato yake. Anyway am proud kuzariwa bongo mahal peke chup ya gigi inakiki kuliko kuliko idea za Mr kuku
 
Mzee ebu tega sikio kidogo kwa Eminem nahisi wakat unamsika jamaa maskio yako yanakua yanapokea mawimbi tofauti kidogo.. uyo jay z anatoa shikamoo kwa mwamba
Yule Jigga kweli ni freemason anaweza akakooa nyimbo nzima na bado ikawa hit song๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ