Yupi kati ya hawa ambaye ameitikisa dunia?

Kwenge Orodha yako nazani Michael Jackson alitikisa Dunia, ana record za kipekee kabisa na pia kwenye harakari za Black Movement alichangia pakubwa sana kwa Wazungu kuanza kuwaelewa watu weusi,
Kweli kabisa hata hivyo ni mtu ambaye ametikisa dunia katika zama zangu wngn sijawaona hata cjapata soma historia zao😂
 
Wazazi wangu tu, HAKUNA zaidi yao hapa duniani.
 
Adolf Hitler aliingiza Dunia kwenye global conflict ....huyu mwamba Acha kabisa
 
Yesu Mnazareth
 
Hakuna wa kuja kumzidi yesu na mtume muhamadi, anaefata labda michael jackson, Hao wengine wengi sijui kina alexandar the great ukiuliza watu wengi tu hapa bongo hawana habari nao, ila lazima atakuwa na habari za yesu, mtume muhamadi au michael jackso
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…