Kimatu
JF-Expert Member
- Dec 17, 2017
- 286
- 271
- Thread starter
- #41
Cha msingi waongeze jitihada na wasilizike na promo za media za hapa nyumbani.
Sema ipo kama media za bongo zinaua mziki wa bongo kwa namna nyingine, wanaweza ku overrate kitu kiasi cha kuwapumbaza wasanii wenyewe na kujiona kama wao ndio bora zaidi, mfano last time media nyingi zili report kwamba Diamond ndio msanii namba moja Afrika kwa sasa, kisa ana views nyingi youtube mil900+, ila ukichek ame upload video nyingi sana zaidi ya 600, wakati mtu kama Wizkid mwenye views mil700+, video alizo upload kwenye channel yake ya Youtube hazifiki hata 50 na zote ni nyimbo