Yupi ndiye msanii bora zaidi kwa sasa Afrika?

Cha msingi waongeze jitihada na wasilizike na promo za media za hapa nyumbani.

Sema ipo kama media za bongo zinaua mziki wa bongo kwa namna nyingine, wanaweza ku overrate kitu kiasi cha kuwapumbaza wasanii wenyewe na kujiona kama wao ndio bora zaidi, mfano last time media nyingi zili report kwamba Diamond ndio msanii namba moja Afrika kwa sasa, kisa ana views nyingi youtube mil900+, ila ukichek ame upload video nyingi sana zaidi ya 600, wakati mtu kama Wizkid mwenye views mil700+, video alizo upload kwenye channel yake ya Youtube hazifiki hata 50 na zote ni nyimbo
 
Diamond Platnumz,,Alaf hakuna Records lebel kubwa Africa kama DABILIUSIBII for now,,iyo Marvin ina wasanii gani wakubwa ukimtoa chalii Rema compare 2 DABILIUSIBII??
 
Diamond Platnumz,,Alaf hakuna Records lebel kubwa Africa kama DABILIUSIBII for now,,iyo Marvin ina wasanii gani wakubwa ukimtoa chalii Rema compare 2 DABILIUSIBII??

DMW, empawa pia zinafanya vizuri
 
Exactly but WCB iz de best 4 now

Ungetoa na vigezo kabisa mkuu, maana mfano kama Mayorkun aliye DMW last year alijaza O1 Arena kitu ambacho hata CEO wa WCB, Mond hajawahi kufanya
 
Kwangu Wizkidayo🙌
 
Kwa nini mkuu?
Jamaa hatumii nguvu saana kipaji saana...Juzi kati before Corona alijaza O2 Arena...ikiwa back to back hiyo...na aliuza tiketi zote 20000 siku3 kabra ya show..

Kwenye album ya beyonce ngoma yake ndio imefanya vizuri zaidi yani Beyonce ft Wizkid--Brown Skin Girl...imeuza sanaa na imeshinda tuzo mbili za kimataifa.

Akarudi na Joro ambayo ilikuwa gumzo Worldwide hayo yote yaache..

Kuna album yake imeiva inaitwa made in lagos hii itakuwa zaidi ya album zote alizowahi kuachia...

StarBoy Wizzy🙌🙌

Ojuelegba on reapeat🔥
 
Ungetoa na vigezo kabisa mkuu, maana mfano kama Mayorkun aliye DMW last year alijaza O1 Arena kitu ambacho hata CEO wa WCB, Mond hajawahi kufanya
Chaliangu Ukubwa wa Music label tunaangalia idadi ya artists ambao wako signed under such label pamoja na mafanikio au ukubwa wao kwa mtu mmoja mmoja,,na kujaza 02 Arena sio kigezo,sasa uyo mayorkun na Vanny boy nani mwenye mafanikio japo Vanny boy hajajaza ata Sheikh Amri Abeid peke ake,cheki video zake zinavokimbiza uko pande za Youtube dingii!!,Aya ukija kwa Yonda ana maajabu gani ya kumzidi ata Mbosso2??,,Yaani Labda Peruzzi ila hamna2,Msanii kama Harmonize katoka DABILIUSIBII nambie msanii gani mnoma katoka Davido Music Worldwide??
 
Hiyo Jeje ka copy Joro ya Wizkid

Sent using Jamii Forums mobile app
Producer aliyetengeneza jeje ndio huyo huyo ametengeneza joro ana identity yake Kama beat za T-touch lakini ukisisikiliza vizuri zina beat Kama zinataka kufanana lakini hazifanani cos ya producer ni moja lakini Zina Melody mbili tofauti
 
Naomba nikulekebishe kidogo Producer wa joro sio wa jeje japo Wizkid huwa anamtumia huyo Producer.

Joro ilitengenezwa na Northboi huyu producer alitengeneza hit ya Soco ya Wizzy..

Alietengeneza Jeje ni Kelp Vibe ambaye alitengeneza hit kama On the low ya Burna Boy.

Na kwenye Album ya African Giant Ya BurnaBoy alipika ngoma 3.
 
Mnigeria yeyote anayefanya vizuri ni rahisi kujaza O2 Arena kwakuwa wanaijeria wamejazana kule Uk

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Producer aliyetengeneza jeje ndio huyo huyo ametengeneza joro ana identity yake Kama beat za T-touch lakini ukisisikiliza vizuri zina beat Kama zinataka kufanana lakini hazifanani cos ya producer ni moja lakini Zina Melody mbili tofauti
Ila jamaa alichoharibu hadi idea ya video kachukua kwenye Joro

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha ubishi joro imetengenezwa na producers wawili Northboy na kelp vibe, kelp vibe kutengeneza beat huku Northboy kafanya mix.
 
Acha ubishi joro imetengenezwa na producers wawili Northboy na kelp vibe, kelp vibe kutengeneza beat huku Northboy kafanya mix.
Joro produced by Nothboi...Kelp Hajahusikaa kabisaaaaa
 
Attachments

  • Screenshot_2020-04-07-08-58-36.png
    24.2 KB · Views: 2
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…