Yupi ni Golikipa Bora kwa Sasa Duniani?

Yupi ni Golikipa Bora kwa Sasa Duniani?

Mimi tangu nianze kutazama mipira nadhan sijaona goalkeeper mzuru kama hawa wajerumani. Lile la enzi na enze lenye mikono 12 na haka kanaitwa Nuer (sijui kama nimepatia jina)
 
Manuel Neuer ndio bora kwa sasa. Hata kwenye fifro iliyotolewa mwezi january yeye ndio kachaguliwa kusimama golini.

Pili huwezi kuwa kipa bora then ukacheza vilabu vya ajabu. Hao uliowataja hapo juu wote wanaonekana wazuri kutegemeana na aina ya uchezaji wa mabeki. Kwa mfano kwenye ligi tano bara barani ulaya yaani, laliga, epl, serieA, Bundesliga na ligi1 Oblak wa Atletico de Madrid ndio amefugwa magoli machache kuliko makipa woooote wanaocheza vilabu vikubwa huko ulaya.
unataka kusema De Gea nae anasaidiwa na ukuta wake mbovu?
 
Msimu huu Hugo Lloris amekua wakawaida sana..Jack Butland amesima sana zaidi epl season hii...Lakini kwa ubora na kila siku namshangaa ni huyu De Gea...definately Fergie's last greatest signing..Ok pia kuna Donarruma , dogo miaka 16 lakini ndo kipa number 1 wa AC Milan kwa sasa, Dogo katisha sana msimu huu...lastly ni huyu jamaa tunamuita the Beast..Jan Oblak...Strong Mentions pia kwa Petr Cech..Kevin Trapp pia, ameweza kusimama na kumuweka Sirugu bench..Keylor Navas nae dah..! lakn Mignollet ndo the biggest disappointment na Cassilas huko Porto
mkuu nimekusoma mno, Trapp nae anastahili pongezi maana kumuweka nje sirigu halikuwa jambo jepesi. Lloris huyu si Lloris yule wa misimu miwili nyuma.
 
Back
Top Bottom