Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😀😀Mkuu tutake radhi bwana!Dada gea(degea) ni habari nyingine,ukzingatia beki ni chizi baily
Bila kupepesa Macho wala kutikisa Masikio, hapo nafasi ni ya David De GeaBaada ya juzi golikipa Gianluigi Buffon kuweka rekodi mpya ndani ya Serie A ( Ligi Kuu ya Italy) ya kucheza dakika 974 bila kuruhusu wavu wake kuguswa, wengi wameanza kumpa sifa ya kuwa anastahili kuwa golikipa bora kwa sasa duniani.
Lakini ubora mdogo wa timu pinzani katika ligi ya Serie A inaweza kuwa sababu ya Juventus na akina Buffon kuendelea kung'aa japo sikatai Buffon anajua sana katika umri wake wa miaka 38 bado anaendelea kuonyesha umahiri wake langoni.
Bila kuonyesha mapenzi au ushabiki, kwa sasa ni kipa yupi ni bora zaidi duniani kati ya hawa
wafuatao?
1. Gianluigi Buffon - Juventus
2. Thibaut Courtous - Chelsea
3. Manuel Neuer - Bayern Munich
4. David De Gea - Man Utd
5. Jan Oblak - Atletico
wewe toa wa kwako acha kuleta ubishi usio na faidaKwa sababu unaangalia EPL pekee.
Angalia tarehe iliyotumika kupost mada. Kipindi hiko Ter Stegen alikuwa akiwekwa mkeka na Claudio Bravo, akawa anaishia kudaka UEFA tu!!Kwa nini Ter Stegen hayupo ktk list yako??
Dah, sikuangalia ni uzi wa lini. Uko sahihi.Angalia tarehe iliyotumika kupost mada. Kipindi hiko Ter Stegen alikuwa akiwekwa mkeka na Claudio Bravo, akawa anaishia kudaka UEFA tu!!