Yupi ni Golikipa Bora kwa Sasa Duniani?

Yupi ni Golikipa Bora kwa Sasa Duniani?

Mikono ya sumaku De gea ila apunguze baadhi ya makosa madogo nliangalia alivyopangua shuti la Coutihno nikajua De gea sio mtu wa mchezo mchezo vile
 
Baada ya juzi golikipa Gianluigi Buffon kuweka rekodi mpya ndani ya Serie A ( Ligi Kuu ya Italy) ya kucheza dakika 974 bila kuruhusu wavu wake kuguswa, wengi wameanza kumpa sifa ya kuwa anastahili kuwa golikipa bora kwa sasa duniani.

Lakini ubora mdogo wa timu pinzani katika ligi ya Serie A inaweza kuwa sababu ya Juventus na akina Buffon kuendelea kung'aa japo sikatai Buffon anajua sana katika umri wake wa miaka 38 bado anaendelea kuonyesha umahiri wake langoni.

Bila kuonyesha mapenzi au ushabiki, kwa sasa ni kipa yupi ni bora zaidi duniani kati ya hawa
wafuatao?
1. Gianluigi Buffon - Juventus
2. Thibaut Courtous - Chelsea
3. Manuel Neuer - Bayern Munich
4. David De Gea - Man Utd
5. Jan Oblak - Atletico
Bila kupepesa Macho wala kutikisa Masikio, hapo nafasi ni ya David De Gea
 
Back
Top Bottom