you need a brain surgeonYap if u are confused then u will seek the truth
Thank youyou need a brain surgeon
don't thank me, just find oneThank you
mbona kama kashachujaCassilas
nani tena?mke wa naniliu ndio golikipa bora kwa sasa
unataka kusema De Gea nae anasaidiwa na ukuta wake mbovu?Manuel Neuer ndio bora kwa sasa. Hata kwenye fifro iliyotolewa mwezi january yeye ndio kachaguliwa kusimama golini.
Pili huwezi kuwa kipa bora then ukacheza vilabu vya ajabu. Hao uliowataja hapo juu wote wanaonekana wazuri kutegemeana na aina ya uchezaji wa mabeki. Kwa mfano kwenye ligi tano bara barani ulaya yaani, laliga, epl, serieA, Bundesliga na ligi1 Oblak wa Atletico de Madrid ndio amefugwa magoli machache kuliko makipa woooote wanaocheza vilabu vikubwa huko ulaya.
mkuu nimekusoma mno, Trapp nae anastahili pongezi maana kumuweka nje sirigu halikuwa jambo jepesi. Lloris huyu si Lloris yule wa misimu miwili nyuma.Msimu huu Hugo Lloris amekua wakawaida sana..Jack Butland amesima sana zaidi epl season hii...Lakini kwa ubora na kila siku namshangaa ni huyu De Gea...definately Fergie's last greatest signing..Ok pia kuna Donarruma , dogo miaka 16 lakini ndo kipa number 1 wa AC Milan kwa sasa, Dogo katisha sana msimu huu...lastly ni huyu jamaa tunamuita the Beast..Jan Oblak...Strong Mentions pia kwa Petr Cech..Kevin Trapp pia, ameweza kusimama na kumuweka Sirugu bench..Keylor Navas nae dah..! lakn Mignollet ndo the biggest disappointment na Cassilas huko Porto
Yaani hata De Gea top 3 yako hayumo?Kipa Buffon,Neuer & Oblak hao wengine ni uchochoro tu
Hapo kiongozi umenenaKama kawaida uzi unaeleaelea tu ila nikianza kuchangia wenye chuk wataanza BRAVO huyu ndiye golikipa bora kabisaaa duniani