Sasa huyo bravo ana ubora gan unaleta upenzi wa barca hadi ukuKama kawaida uzi unaeleaelea tu ila nikianza kuchangia wenye chuk wataanza BRAVO huyu ndiye golikipa bora kabisaaa duniani
Mtaje kipa wako wewe pingana nami kwa factSasa huyo bravo ana ubora gan unaleta upenzi wa barca hadi uku
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] kwa mujibu wa maneno yako ushampa uwezo Cassilas na ndio mana ukasema "anaweza" japo huna uhakikaDe gea ndo kipa bora hata jana kwny mechi ya spain kadhirisha anaweza kumkalisha bench cassilas #daviesaves
Nimesema ivyo coz cassilas ndo kipa namba moja wa spain toka mda[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] kwa mujibu wa maneno yako ushampa uwezo Cassilas na ndio mana ukasema "anaweza" japo huna uhakika
Sawa ila huwez sema de gea ni number one kuna Buffon huyu atakuwa namba ipi sasa ?? Neur je?? Alafu unamtaja mkata mkaa anayepigiwa mashut na wakata mkaa wenzie kama benteke wengine wazee vijana kama Costa n.kNimesema ivyo coz cassilas ndo kipa namba moja wa spain toka mda
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Jana nilimtazama De Gea wetu dhidi ya Liver nikasema huyu hana mfanowe kwa sasa.
Leo nimemtazama Lloris wa Totenham kwenye UCL nikasema khe!huyu katokea wapi?!
Mpira ulivyoisha wakaonyesha highlights michezo yote ya UCL nikaona Lyon vs Juve maama yangu mzazi!Huyo Buffon huyo!ndiye man of the match,mnaweza kukisia kilichokuwa kinaendelea uwanjani!Juve walikuwa na red,mechi ikawa Lyon vs Buffon!na Lyon wamechemka!Mizee mingine nuksi sanaππ,unaweza kumfuata ukampigia magoti,"tafadhali mzee,tunaomba tupitishe mpira wetu uingie wavuni"ππ
Petr cech ndiye bora zaidi kwasababu anaitumikia timu ambayo ni kimeo lakini anajitahidi kutengeneza creansht
Hahaaaa BRAVO tumemuona barca Vs city ujinga alioufanyaKama kawaida uzi unaeleaelea tu ila nikianza kuchangia wenye chuk wataanza BRAVO huyu ndiye golikipa bora kabisaaa duniani