Yupi ni Kepteni Wako Bora wa Muda Wote?

Wasomali waliingia Chaka wakateka hiyo Meli iliyokuwa na Captain wa Kimarekani kilichowapata kutoka kwa Navy Seal hawatakaa wasahau.
Ile meli kuna bilionaire mmoja kainunua IPO dubai pale sharjah port kama pambo yani ipo vile vile tangu ilivyotekwa hata rangi hawaja irudia sijui labda mwaka huu pengine ila baada ya kutoka somalia ilipelekwa dubai.
 
Nilikua namuamina Sana Patrick Viera pale ndani ya Arsenal ,,,,upande wa pili man u nilimkubali Sana Roy keane
 

Attachments

  • images.jpeg
    19.2 KB · Views: 1
Cafu- Brazil.

Kikosi Bora cha muda wote;

The XI (4-4-2)
Lev Yashin (USSR); Cafu (Brazil), Bobby Moore (England), Franz Beckenbauer (Germany), Maldini (Italy); Johan Cruyff (Holland), Zinedine Zidane (France), Maradona (Argentina), Alfredo Di Stefano (Argentina); Messi (Argentina), Pele (Brazil).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…