nipekidogo
JF-Expert Member
- Apr 17, 2019
- 1,587
- 3,035
Utamkumbuka kwa lipi?
Nimeanza nikiwa na miaka mitatu 2003.Utakuwa umeanza kushabikia mpira siku za hivi karibuni?
HahahaKaanza kufuatilia mpira mwaka juzi
Kipindi nipo mdogo Nilikuwa najua captain ni mmoja tu kwenye soka,naye in Captain Dunga!
Aaaaaaaaaa,,,umenichekesha.Kipindi nipo mdogo Nilikuwa najua captain ni mmoja tu kwenye soka,naye in Captain Dunga!
Kila mtu ana maono yake, usinilazimishe unavyowaza wewe.Kaanza kufuatilia mpira mwaka juzi
NaamCaptain Nemanja Vidic
Captain G wahabashi.Unapoona kitambaa cha Unahodha akilini mwako huwa anakujia mchezaji gani? Au ni kepteni gani ambaye huwa unamuona ni bora sana kwa muda wote?
Jinsi anavyohamasisha wenzake na anavyopambana kufia timu yake. Anaweza akawa ni levo ya klabu ama levo ya timu ya taifa. Pia anaweza akawa anacheza sasa au ameshastafu. Yupi ni kepteni wako bora?
View attachment 1277225
Captain VidicCaptain Nemanja Vidic
Huyu mwamba alikua hana mbio, nakumbuka walivyokua wakikutana na Man U, Gigs alikua anamtangulizia mpira alafu anaana kukimbia, ilikua lazima acheze rafuFernando Hierro
View attachment 1277231
Wazee wa Red Cards, kwao kumaliza msimu bila red cards kadhaa ilikua dhambi kubwa.Nilikua namuamina Sana Patrick Viera pale ndani ya Arsenal ,,,,upande wa pili man u nilimkubali Sana Roy keane
Hivi tonny Adam's ukocha uliishia wapi,hivi ana undugu na mke wa BeckhamTony Adams Mr. Arsenal
View attachment 1277537
Ilikua ni vita ya nne ya duniaWazee wa Red Cards, kwao kumaliza msimu bila red cards kadhaa ilikua dhambi kubwa.
Na siku wakikutana wenyewe kwa wenyewe lazima pale kati pawake