Dreadnought
JF-Expert Member
- Mar 25, 2013
- 2,876
- 3,942
Uwe na hela halafu hupigi mechi mkuu, hizo hela huwezi zifurahia asee.Hela muhimu sana.. yaani umaskini na nguvu za kiume nichague umaskini.
Wanawake hata kwa dildo wanaenjoy mapenz kama kuna hela.. mimba ama watoto utazaliwa kwa kupandikiza kama mengi vile
Uwe na hela halafu hupigi mechi mkuu, hizo hela huwezi zifurahia asee.
Tunatofautiana mkuu, binafsi nathamini sana uanaume wangu kuliko chochote.Je Maskini wanaopiga mechi huwa wanafurahia?
Kuna msemo unasema Ngono ni starehe ya maskini . Kuna raha kibao pesa inaweza kukuletea . Maskini ndio tunajua ngono tu ni starehe kubwa
Mara kibao nimesikia mtu anajiua na kuua watoto wake sababu ya umaskini hana cha kuwalisha.
Sijawai sikia mtu anajiua sabab adindishi
Umaskini ni laana. Ndio source of all evil.
Kulala njaa ama mateso ya umaskini yasikie tu kwa mwenzako
Hujanishawishi badoWatoto ukitaka unawapata. Kuna kupandikiza ama kuna kuasili mtoto.
Kuna taratibu nzuri tu za kisheria na kibaiolojia za kupata watoto bila kusimamisha uuume
sawia kisu umeweka kwenye mfupa Kwa utulivu...fujo isiyoumiza!Inamaana amekupa umasikini wa maisha, uzeeke huna mtoto ndugu wafaidi pesa yako.