Rufiji dam
JF-Expert Member
- Feb 20, 2020
- 4,107
- 9,671
Huyu Neymar ana mpira wa ulaya sana sio ile Samba hasa ya maharage meusi. Walikuwepo akina Manzinho na Blanco. Huyu muhindi mwekundu Rai alikuwa anakitibua sana. Siku hizi ujinga mtupu.Changamoto vijana wa siku hz hatukuwaona hao wakicheza ila haiondoi kuwa jamaa walikuwa ni mafundi haswaaa
Neymar Jr hatari huyu dogoHapo kwa Gaucho na Neymar chagua mmoja
Mtoe Neymar hapo hajafanya lolote hapoHii ni list ya wachezaji wa Brazil ambao wamecheza zama tofauti, chagua mmoja ambaye unamkubali zaidi.
Chaguo langu ni Ronaldo De lima, jamaa ni bora sana kuliko wote hapo.
View attachment 1577957
De Lima ni majeraha tu bt kwa kidogo nilivyomuangalia he's the best.
Hao kina Pele sijui Zico...Mimi hapana tasama hao....so kwenye mpambano wangu nimewa omit
Ronaldinho ndiyo top kuliko wote hao.Hii ni list ya wachezaji wa Brazil ambao wamecheza zama tofauti, chagua mmoja ambaye unamkubali zaidi.
Chaguo langu ni Ronaldo De lima, jamaa ni bora sana kuliko wote hapo.
View attachment 1577957
Ronaldinho GauchoHii ni list ya wachezaji wa Brazil ambao wamecheza zama tofauti, chagua mmoja ambaye unamkubali zaidi.
Chaguo langu ni Ronaldo De lima, jamaa ni bora sana kuliko wote hapo.
View attachment 1577957
ingawa alicheza kwa muda mfupi, de lima alikuwa bonge la mchezaji, hata asipofunga shuguli yake ilikuwa inaonekana uwanjani
Mchaguwe lisu akutowe kukaa kwa shemegi yako maana unamiaka 30 mpaka Leo mkate unanunuliwa na shemegHapo mpaka naona kizunguzungu,nimchague nani kati ya Pele,Nazario na Dinho.
M namkubali sana Rivaldo ila watu wana mu underrate sana....ila mwamba aliibeba sana Brazil kuchukua ndoo mwaka 2002.
Ronaldinho ndiyo top kuliko wote hao.