Yupi ni mchezaji bora katika list hii ya Wabrazil?

Yupi ni mchezaji bora katika list hii ya Wabrazil?

Changamoto vijana wa siku hz hatukuwaona hao wakicheza ila haiondoi kuwa jamaa walikuwa ni mafundi haswaaa
Huyu Neymar ana mpira wa ulaya sana sio ile Samba hasa ya maharage meusi. Walikuwepo akina Manzinho na Blanco. Huyu muhindi mwekundu Rai alikuwa anakitibua sana. Siku hizi ujinga mtupu.
 
De Lima ni majeraha tu bt kwa kidogo nilivyomuangalia he's the best.
Hao kina Pele sijui Zico...Mimi hapana tasama hao....so kwenye mpambano wangu nimewa omit
 
De Lima ni majeraha tu bt kwa kidogo nilivyomuangalia he's the best.
Hao kina Pele sijui Zico...Mimi hapana tasama hao....so kwenye mpambano wangu nimewa omit

[emoji1316][emoji1316][emoji1316] De Lima [emoji91][emoji91][emoji91]
 
Back
Top Bottom