Yupi ni Mchezaji unayemkubali zaidi kutoka nchini Uholanzi?

Yupi ni Mchezaji unayemkubali zaidi kutoka nchini Uholanzi?

Deni Beghckamp.
Van Nestraloy.
Van De sar
na Van Dame[emoji23]
 
Ni wengi walikuwa wakali, achana na hawa wa leo wakina DEPAY,
 
Total football Founder. Johan Cruffy. Huyu ndio top wao. Ile uwanja wa Ajax ulioitwa Amsterdam arena kwa sasa umeolewa jina lake. Pale camp nou alipofanya Mambo makubwa Kuna jukwaa limepewa jina lake.

Kutoka hapo ndio wanakuja kina Van Basten, Gullit, Bergkemp na wengine.
 
Kwa niliopata kuwashuhudia nikilazimishwanimtaje mmoja tu..

Sina budi kumtaja dennis berkgamp, huyu jamaa alikiwa fundi hatari.
The non flying dutchman, Denis Bergkamp
Tuko pamoja wakuu, huyo mwamba alikuwa na kila kitu ambacho mchezaji yoyote mahiri anastahili kuwa nacho. Nguvu,speed,skills, spirit ya upambanaji na ushawishi mkubwa.

All hail to you our great Gunner.
images.jpg
 
Nasikia Netherlands 2002(world cup) walishindwa kufuzu...na mwaka 1998 walifika mpaka semi-final.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Ndio maajabu ya soka..

98 nusu fainali world cup kwa mbiiinde wanapigwa na wabrazil...
2000 nusu fainali Euro kwa mbiinde na waitaliano, shukrani pekee kwa toldo kuokoa mikwaju ya penati, ndani ya dk 90 na muda wa penati penati
2002 wanashindwa kufuzu kombe la dunia..

Ufaransa bingwa wa dunia 98, euro 2000, anaishia makundi worldcup

Denmark ya 96 haielezeki..
Greece ya 2004 hayasemeki.. Worldcup 2006.
 
Marco van basten is probably the best Dutch player ever
Ameshinda balloon d'or 3 in the early 90s
Unfortunately career yake ilikatishwa mapema na majeraha
Kwamba unamaanisha Maco Van Basteen ni bora kuliko muasisi wa soka lau The Great Johan au?

Hii ni sawa na kusema Messi ndio mchezaji bora wa muda wote nchini Argentina kisa tu ana Golden balls sita
 
Back
Top Bottom