OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
acha wivu wa kikeWazima wako Mirembe vichaa tuko na mitaani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
acha wivu wa kikeWazima wako Mirembe vichaa tuko na mitaani
Van da vert
Hahahaa, nikadirie mkuuNaweza kadilia umri wako
Leo tuangazie nchi ya Uholanzi, kwa miaka nenda rudi imekuwa ikitoa wachezaji wazuri haswa duniani. Hebu leo tuambie mdachi unayemkubali zaidi katika soka!
Yule mzungu alikuwa mfupi utafikiri mluguru wa Matombo..ila kalikuwa very energetic na speed...Dir Kuyt jamaa alikuwa kiberenge namkubali mpaka kesho kutwa
ahahahahah waluguru wafupi sana eeehYule mzungu alikuwa mfupi utafikiri mluguru wa Matombo..ila kalikuwa very energetic na speed...
Kwa niliopata kuwashuhudia nikilazimishwanimtaje mmoja tu..
Sina budi kumtaja dennis berkgamp, huyu jamaa alikiwa fundi hatari.
Tuko pamoja wakuu, huyo mwamba alikuwa na kila kitu ambacho mchezaji yoyote mahiri anastahili kuwa nacho. Nguvu,speed,skills, spirit ya upambanaji na ushawishi mkubwa.The non flying dutchman, Denis Bergkamp
Yale yalikuwa ni maajabu yaliyo ushangaza ulimwengu.Nasikia Netherlands 2002(world cup) walishindwa kufuzu...na mwaka 1998 walifika mpaka semi-final.
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
RVNLeo tuangazie nchi ya Uholanzi, kwa miaka nenda rudi imekuwa ikitoa wachezaji wazuri haswa duniani. Hebu leo tuambie mdachi unayemkubali zaidi katika soka!
Ndio maajabu ya soka..Nasikia Netherlands 2002(world cup) walishindwa kufuzu...na mwaka 1998 walifika mpaka semi-final.
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Kwamba unamaanisha Maco Van Basteen ni bora kuliko muasisi wa soka lau The Great Johan au?Marco van basten is probably the best Dutch player ever
Ameshinda balloon d'or 3 in the early 90s
Unfortunately career yake ilikatishwa mapema na majeraha