Mwenye tako1. Mke anayekaa nyumbani: Huyu anajitolea muda wake wote kuhudumia familia, kulea watoto, na kuhakikisha nyumba iko sawa kila siku.
2. Mke mwajiriwa: Huyu anafanya kazi na anaingiza kipato cha kusaidia familia. Anaendelea na ndoto zake za kikazi lakini pia anajaribu kusawazisha kazi na maisha ya Familia.
3. Mke aliyeanzishiwa biashara: Huyu anapata uhuru wa kifedha huku akiwa na nafasi ya kujipangia muda wa familia.
Kwa maoni yako, yupi ni bora zaidi na kwa nini?
Naamini kila mmoja ana maoni yake,
Oa wote watatu..!! Fulu mifaida1. Mke anayekaa nyumbani: Huyu anajitolea muda wake wote kuhudumia familia, kulea watoto, na kuhakikisha nyumba iko sawa kila siku.
2. Mke mwajiriwa: Huyu anafanya kazi na anaingiza kipato cha kusaidia familia. Anaendelea na ndoto zake za kikazi lakini pia anajaribu kusawazisha kazi na maisha ya Familia.
3. Mke aliyeanzishiwa biashara: Huyu anapata uhuru wa kifedha huku akiwa na nafasi ya kujipangia muda wa familia.
Kwa maoni yako, yupi ni bora zaidi na kwa nini?
Naamini kila mmoja ana maoni yake,
Waajiriwa pesa yao ni ya matumizi yao binafsi, tena wanakuwa wakali ukiwauliza kuhusu mshahara waokivipi? fafanua
Waote wazuri ila namba 1 unamuweka nyumbani unajiendeleza, yeye yupo vile vile siku ya siku unaanza kumnanga hajasoma inauma sana na nidhambi mpaka kwa MUNGU.1. Mke anayekaa nyumbani: Huyu anajitolea muda wake wote kuhudumia familia, kulea watoto, na kuhakikisha nyumba iko sawa kila siku.
2. Mke mwajiriwa: Huyu anafanya kazi na anaingiza kipato cha kusaidia familia. Anaendelea na ndoto zake za kikazi lakini pia anajaribu kusawazisha kazi na maisha ya Familia.
3. Mke aliyeanzishiwa biashara: Huyu anapata uhuru wa kifedha huku akiwa na nafasi ya kujipangia muda wa familia.
Kwa maoni yako, yupi ni bora zaidi na kwa nini?
Naamini kila mmoja ana maoni yake,
Na kwanini ake nyumbani yeye geti au fyrniture?Waote wazuri ila namba 1 unamuweka nyumbani unajiendeleza, yeye yupo vile vile siku ya siku unaanza kumnanga hajasoma inauma sana na nidhambi Kwa MUNGU
Usijaribu hiyo namba 2Ni kweli, ila sio wote, pia inategemeana kama kakuzidi mshahara hapo ndio utaziona rangi zake harisi