Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
La pulga anajua kila kitu cha mpira.Kwa Messi kila kitu unakipata.
Toa data zake hapa za uwanjani, Kama anauwezo wa kufikia Xavi, Modric, Iniesta, Redondo Rui Costa, nkKwangu mimi mchezaji anayepiga pasi bora na zenye macho kwasasa katika ulimwengu wa soka ni Jorginho wa Chelsea. Zamani alikuwepo Paul Scholes.
Wewe unamkubali nani?
Mkuu elewa mada ndio uchangieToa data zake hapa za uwanjani, Kama anauwezo wa kufikia Xavi, Modric, Iniesta, Redondo Rui Costa, nk
Dah r.i.pGodfray Bon
Complete packageKwa Messi kila kitu unakipata.
waziiXavi hatari,anaweza pitisha pasi katikati ya watu hata 7.
Jamaa namkubali Sana mzee wa outta tutammisi Sana akistaafu.Hakuna kocha anaye fundisha kupiga outta lakini Luka Modric fundi wa kupiga pasi anazipiga anavyotaka