jajuu
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 349
- 535
R.i.p bonnyGodfray Bon
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
R.i.p bonnyGodfray Bon
hivi bonny alifariki dah sikupata habari alikuwa anaumwa nini?R.i.p bonny
Ugonjwa wa kukosa penati ulimsumbua saana. Kafariki leo jioni jioni. Daah!hivi bonny alifariki dah sikupata habari alikuwa anaumwa nini?
Sergio busquets master of DISGUISED PASSESKwangu mimi mchezaji anayepiga pasi bora na zenye macho kwasasa katika ulimwengu wa soka ni Jorginho wa Chelsea. Zamani alikuwepo Paul Scholes.
Wewe unamkubali nani?
Complete packageKwa Messi kila kitu unakipata.
Mudathir Yahaya Abass AzamKwangu mimi mchezaji anayepiga pasi bora na zenye macho kwasasa katika ulimwengu wa soka ni Jorginho wa Chelsea. Zamani alikuwepo Paul Scholes.
Wewe unamkubali nani?