Yupi ni Mwanasoka Bora kwenye Upigaji wa Pasi uwanjani?

Yupi ni Mwanasoka Bora kwenye Upigaji wa Pasi uwanjani?

Pasi zipi unazozungumzia wewe mzee mwenzangu..

Naona umemtaja jorginho mie napenda kuzita pass za kucheza na timu ama pass za kuzunguka uwanja, ama pass za kutawala timu. Kwa pass hizi master wake alikuwa xavi!! Yaani anaupika mpira halafu anaufata tena, anachukua anapiga kule!! Kibongo bongo inakuwa nishikie!! Unampa mtu pasi unamwambia nishikie, unafata mali yako, unapiga kwingine.. hapa ni wengi kidogo
Jorginho
Alikuwepo michael carrick
Xavi
Deco de souza
N.k n.k

Kule zile pass nux!! Yaani pass hiyo moja tu inaweza kuzaa goli au kosa kosa, hapa sizungumzii assist pass, maanza assist mtu hata akipiga kona kaasist, hapa nazungumzia pasi ambayo ikipigwe unaweza kubutwa kwamba alifikiria nini yule mtu kupiga ile pasi basi hapa kina watu hawa nawaheshimu saana..
Cesc fabregas
Ozil
Lionel Messi
Na fundi mmoja wa kuitwa Dennis bergkamp( a non fyling Dutchman) alikuwa hatari saaana huyu mtu
 
Kuna pasi za kucheza na pasi za mbele. Kwa pasi za kucheza Jorginho hana mpinzani kwa sasa, kwa Pasi za mbele kwa sasa naona ni kweupe kabisa hamna kifaa cha uhakika.

Ila tukizungumzia kwa vizazi vilivyopita. kwa pasi za kucheza ni Xavi ila kwa pasi za mbele hakuna kama Rui Costa.
 
Back
Top Bottom