mikedean
JF-Expert Member
- Mar 15, 2018
- 3,267
- 4,634
Huyu jamaa alitangulia mbele za haki???[emoji22][emoji22][emoji22]Dah r.i.p
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu jamaa alitangulia mbele za haki???[emoji22][emoji22][emoji22]Dah r.i.p
😂 😂😂MOLINGA wa YANGA
Kwangu mimi mchezaji anayepiga pasi bora na zenye macho kwasasa katika ulimwengu wa soka ni Jorginho wa Chelsea. Zamani alikuwepo Paul Scholes.
Wewe unamkubali nani?
Kwangu naona ni jorginho ana 95% ya pass accurate na fabregas ana 92% ya pass accurateKwangu mimi mchezaji anayepiga pasi bora na zenye macho kwasasa katika ulimwengu wa soka ni Jorginho wa Chelsea. Zamani alikuwepo Paul Scholes.
Wewe unamkubali nani?
ahahahaha yule jamaa ni hatari kwa kupiga outta na bananaQuaresma
mkuu mbona umemsahau Andre iniestaPasi zipi unazozungumzia wewe mzee mwenzangu..
Naona umemtaja jorginho mie napenda kuzita pass za kucheza na timu ama pass za kuzunguka uwanja, ama pass za kutawala timu. Kwa pass hizi master wake alikuwa xavi!! Yaani anaupika mpira halafu anaufata tena, anachukua anapiga kule!! Kibongo bongo inakuwa nishikie!! Unampa mtu pasi unamwambia nishikie, unafata mali yako, unapiga kwingine.. hapa ni wengi kidogo
Jorginho
Alikuwepo michael carrick
Xavi
Deco de souza
N.k n.k
Kule zile pass nux!! Yaani pass hiyo moja tu inaweza kuzaa goli au kosa kosa, hapa sizungumzii assist pass, maanza assist mtu hata akipiga kona kaasist, hapa nazungumzia pasi ambayo ikipigwe unaweza kubutwa kwamba alifikiria nini yule mtu kupiga ile pasi basi hapa kina watu hawa nawaheshimu saana..
Cesc fabregas
Ozil
Lionel Messi
Na fundi mmoja wa kuitwa Dennis bergkamp( a non fyling Dutchman) alikuwa hatari saaana huyu mtu
Watu mna maneno,Messi anapiga Pass inyokuambia wewe mpokeaji ufanye nini. Ni Pass inayojielezea inataka nini.