Yupi ni Mwanasoka Bora kwenye Upigaji wa Pasi uwanjani?

Kwangu mimi mchezaji anayepiga pasi bora na zenye macho kwasasa katika ulimwengu wa soka ni Jorginho wa Chelsea. Zamani alikuwepo Paul Scholes.

Wewe unamkubali nani?
Kwangu naona ni jorginho ana 95% ya pass accurate na fabregas ana 92% ya pass accurate
 
Pass mnyanyuo. Yaani nyie mmekaba Hamna pa kupita. Yeye anainyanyua juu inamdondokea MTU huko mbele. Mambo hayo anayapenda Messi. CR7 angecheza Na Messi angefunga hata goal 100 za ligi
 
mkuu mbona umemsahau Andre iniesta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…