Yupi ni Mwanasoka Bora kwenye Upigaji wa Pasi uwanjani?

Mtaongea mengi sana wakuu, ila ukweli unajulikana...Messi ndio kila kitu katika soka...

Ukianzisha thread ya master of freekick ulimwenguni Messi anachukua no 1...
Passes ndefu/zakaribu na za mwisho Messi no 1...
Dribbling Messi no 1...
Play Maker Messi no 1...
Magoli ya ufundi Messi no 1...
Ball control Messi no 1
N.K
 
Labda unaongelea active players.
Kwenye free kick hakuna aliyewahi kumfikia Juninho wa Brazil hapo hata Beckham alikiri. Fuatilia utaona. Cristiano ndio hujifunza hapo.
Katika kucheza kwake jumla alifunga goals 131 na kati ya hizo 75 zilikuwa za free kick na hakuna ambaye amewahi kuzifikia.
 
Hivi mkuu CR7 nae unamuweka kwenye wapiga faulo?hivi unaonaga majeraha anayowapa walinzi wanaoweka ukuta au kazi anayowapa ball boys kwenda kutafuta mipira yake nje ya uwanja?uko serious kweli?
 

Kamanda, unaweza kuwa na freekick nyingi au magoli mengi lakini yasiwe ya kiufundi na pia timu ulizokutananazo..Messi anakupigia freekick zilizoenda shule bila kuiga for any player, magoli yake almost ya ufundi kuliko mchezaji yeyote yule may be kwa mbaali Diego Maradona..Messi anakupigia freekick mpira unaenda utafkiri unatoka nje...kamanda, mimi ni mkongwe sijaanza leo kufuatilia mpira.. walikuwepo wapiga freekick wengi tu akina Juan roman Requlme, Beckham, Maradona, Juninho perkambukano, Alessandro del piero, Roberto Baggio, Frank lampard, Andrea pirlo Cr7 na Roberto carlos..wa sasa kuna Dybala na Miralem Pjanic.. wote hawa nimewafuatilia...ila kwa Messi watasubiri sana...Mfano mmoja tu.. Arthur Friedenreich ndie alikuwa na magoli 1,329 akifuatiwa na Pele mwenye magoli 1,281...Then Josef Bican mwenye magoli 805,wapo akina Puskas Gerd Muller, Eusebio n.k...

Hawa jamaa wana magoli mengi kuliko Messi mwenye magoli machache lakini magoli yao hayawezi kufanana na ya Messi hata kidogo japo ni mengi na ndani yake yamejaa ya offside na yakitaani...so Messi ataendelea kuwa bora kila idara.



Lionel Messi
 
Kuna siku Fergie aliwahi kusema kwa utani kuwa toka azaliwe amewahi kuona Xavi Amepoteza pasi mbili tu
 
We jamaa unafanyaga hata watu wanao mkubali messi wakupinge kwenye free kick hapo messi sio mfalme, ukongwe wako usiutumie kupotosha watu kudadadeki hii dunia wamepita wachezaji mbali mbali ambao walikua na ubora wa aina mbali mbali. Messi anaweza kua mchezaji wa nafasi za mbele mkali ila sio kusema kua messi ndo kila kitu kwenye soka, NO, kunawachezaji wa position ambazo messi hachezagi hao unawaweka wapi?

Vipi kuhusu Levy yashin, unampambanishaje na messi? Uje useme nessi ndo kila kitu kwa soka? We bado mchanga sana
 


Hayo ni maono yako..
 
kwa duniani ni el maestro Xavi...kwa ulimwenguni ..yani binadamu +aliens+reptilians fundi ni messi
 
Xavi again, alijuwa kuzitengeneza zile triangle pale katikati ya dimba la camp nou...

Kwa sasa namuelewa sana jorginho WA Chelsea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…