Yupi ni Mwanasoka wa tatu kwa Ubora baada ya Messi na Ronaldo?

Yupi ni Mwanasoka wa tatu kwa Ubora baada ya Messi na Ronaldo?

aliye na ndoo ya dunia mkononi kwa sasa ni nani mkuu

Kwahiyo kigezo chako ni ndoo tu sio!! Kama ni hivyo basi hata these players ni bora zaidi ya Messi kama ndio kigezo chako.

Naanza na:
  1. Muller
  2. Iniesta
  3. Gortze
  4. Pele
  5. Maradona
  6. Xavi
  7. Bosquets
  8. Fabregas
  9. Gomes
  10. N.k
Kwahiyo wote wenye ndoo wamemzidi Messi sio!! Why wabongo tunashindwa kubadilika,, kila day Messi Messi Messi. Messi atawapoteza ujuwe Mkuu!
 
Wewe unamjua Pele?? Umemuona wapi??

Kujifanya Una Miakili Yote Kumbe Unamrate Mchezaji Kisa tu Umemuona Akicheza! Na Unamu-underrate Mchezaji Kisa Hujamuona Akicheza?

Kwahiyo Utawaoverrate Luis Suarate na Ivan Rakitic Kwa Sababu Unawaona Wakicheza na Kuwazarau Wakina Platini, Gullit, Johan Cruyf, De Stefano, Gerald Muller, Kavin Kegan n.k. Kisa tu Hukuwaona Wakicheza?
 
Sikuwaona LIVE pengine hata wewe hukuwaona na asilimia kubwa ya jamiiforrum members hawakupata bahati kuwaona. Isipokuwa tumewaona katika youtube.

So pele nimemfuatilia katika youtube na Maradona pia nimemfuatilia. Kwa mimi MARADONA ndiye bora zaidi ya pele. Hapo Messi nimemweka kando hana wa kufananishwa nae/Mpinzani mpaka now. Kwaheri!
 
Kwani Nani Aliyekutuma Uanze Kuangalia Mpira 2015?

Kwahiyo yeyote anaewakubali wachezaji wa sasa atakuwa kazaliwa miaka ya hivi karibuni sio??? Kwanini wabongo hatubadiliki?? Pengine hata mimi nitakuwa nimekuzidi umri ndugu. Unaamini kweli Pele kamzidi Maradona?? Au kwa kigezo ni makombe ya dunia wakati ile ni teamates tu!!! Unaamini Pele kamzidi Messi?? Lakini penye ukweli uongo hujitenga. So baki na mawazo yako mkuu.
 
Sio Kwasasa tu! Hata Hiyo Zamani Bale hakuwahi Kufanya Maajabu!
Labda Maajabu Ya Sura Yake Kufanana na Kiumbe flani Hivi!!

Unaanzaje kumfananisha mwenzio na sokwe?? Wewe ndiye muumba au Mwenyezi Mungu ndiye kamuumba?? Wewe ukiambiwa hivyo utapendezewa! Sio vizuri mkuu.
 
Sikuwaona LIVE pengine hata wewe hukuwaona na asilimia kubwa ya jamiiforrum members hawakupata bahati kuwaona. Isipokuwa tumewaona katika youtube.

So pele nimemfuatilia katika youtube na Maradona pia nimemfuatilia. Kwa mimi MARADONA ndiye bora zaidi ya pele. Hapo Messi nimemweka kando hana wa kufananishwa nae/Mpinzani mpaka now. Kwaheri!

[HASHTAG]#YouTube[/HASHTAG] ???! Kwa Mpaka Hapa Weakness uliyoionesha Sina Cha Kukusaidia!
Kwaheri pia!
 
Labda Maajabu Ya Sura Yake Kufanana na Kiumbe flani Hivi!!

Ulikuwa una maanisha nini hapo!! Hata kama sio sokwe but ni dhambi iliyoje kumfananisha na mnyama!!

Nimekusundia Kumfananisha Na Actor Mmoja Wa Bollywood (Hindi Cinema) Anayeitwa Razak Khan na wala si Mnyama.

images.jpg

Au Huyu Razak Khan si Kiumbe?

razak khan
 
Back
Top Bottom