Yupi ni straika (namba 9) unayemkubali kwasasa Duniani?

Kufuatia Dunia ya soka kukumbwa na uhaba wa Washambuliaji mahiri katika soka, Kuna mastraika wachache sana ambao wanaendelea na ubora wao wa kutupia nyavuni.

Je kwasasa unamkubali straika yupi?
aisee ungeniuliza wa zamani ningekujibu vema
 
Aubameyoung
Lewandowski
Cavani
Suarez
Samata
 
carlos bacca
harry keny
luis suarez
but lewandosk is a super than all
 
Straika yuko kwa wandava.. Walume ndago.. Watoto wa Hitler.. Wazee wa kazi.. Bayern, LewaGoal

Mwingine dogo janja wa juve.. Dyabala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…