Yupi ni straika (namba 9) unayemkubali kwasasa Duniani?

Yupi ni straika (namba 9) unayemkubali kwasasa Duniani?

Straika yuko kwa wandava.. Walume ndago.. Watoto wa Hitler.. Wazee wa kazi.. Bayern, LewaGoal

Mwingine dogo janja wa juve.. Dyabala
Dybala kama ni namba 9 higuan anacheza ngapi ungeficha wehu wako ingependeza mno
 
over rated... he needs time athibitishe ubora wake, though the guy is very talented


Athibitishe Kivipi Wakati Ndani Ya Mwaka 2017 Ndiye Striker aliyefunga Magoli Mengi Kuliko Striker Yoyote Yule Duniani katika Ligi Zote 5 bora Barani Ulaya...
Amemzidi Mpaka Messi Kwa Kufunga Magoli Mengi....
Na Huu ni Msimu Wa 4 mfululizo anaendeleza Consistency Yake.
 
Watu mnachemka sana, inaoneka weng mnachek ligi ya England


Kwa sababu katajwa Harry Kane au? Wanaomtaja Suarez Sio Kosa!! Au ulitaka Atajwe na Benzema na Griezman?

Acheni unazi kwasasa Harry Kane yupo on Fire..
 
Kwasasa Stats Zinaonesha Wazi Kuwa Harry Kane ndiyo Striker bora Zaidi Duniani.
 
Nilisahau kumbe beki bwana.. Ila anaweka kamba za maana kama beki mwenzake asante kwasi wa simba
 
Suarez

Aubameyang

Rewandowsky

Arguero

Diego Costa

Lukaku yule wa Everton

Harry Kane
 
Hivi uwepo wa Harry Kane unauliza goal gotta mzuri Kwelii kwa sasa!!!!
 
1.Harry kane
2.Kun aguero
3.zombie
4.Lewa goal
Wengine mtajaza wenyewe
 
Back
Top Bottom