othuman dan fodio
JF-Expert Member
- Jan 2, 2018
- 6,850
- 11,033
Haaa haaaaaaaa
Kama unafunga magoli ya bure bure hayaleti vikombe, msimu ukiisha na wewe unasahaulika.Nani anaongoza kwa magoli epl?Nani aliyeongoza kwa magoli misimu miwili iliyopita epl?
Dogo mayai sana. Bado sana, mrembo huyu.Gabriel Jesus
Dogo mayai sana. Bado sana, mrembo huyu.
Harry kaneKufuatia Dunia ya soka kukumbwa na uhaba wa Washambuliaji mahiri katika soka, Kuna mastraika wachache sana ambao wanaendelea na ubora wao wa kutupia nyavuni.
Je kwasasa unamkubali straika yupi?
S9 not anymoreAuba /suarez