Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wht nextMwalimu Bosco alininyooshea kidole akasema "wewe cheapest jibu swali". Hii ilikuwa kipindi cha physics
Sikuamka nikakausha.....
What happened next I am not telling..
Nilikuwa mwekundu....Wht next
TobaaaaaaOyaaa Salt, njoo back stage kidogo uvae gulo vuzi
UshatubuTobaaaaaa
Hapo why akasirike wakati visevesa is trueNajua unacheka kwa sababu wewe ni white
Unakesha sana siku hizi
Umemuonea bure jamaa. Unajuwa kuna ugonjwa wa color blindness, na huawaathiri zaidi wanaume.Sometime mpunguze mazoea na watu ambao hawajawazoea na ambaye huna utani naye,,,,, tu***k them all..
Leo nipo zangu narefresh mind kutokana na kuyashangaza macho maajabu ya Mungu mtaani ghafla nasikia mtu ananiita tena yuko serious Na weusi wangu huu nakatisha sehemu limtu linakzana liko bize kuniita eti we whaitii we whaitii wewe nimerudi nyuma nimemtia bonge moja la ngumi nadhani yuko ICU sasa hivi 😏😏