funluverx
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 480
- 343
Binti kisu kisu kweli.
Ilikuwa tuupige ' ubeche' wa Harusi miaka minne iliyopita baada tu ya mchumba wake kuhitimu Chuo lakini baada ya kushauriwa mshkaji alilielewa somo na kukubali kuahirisha Ndoa kwa makusudi ya binti kwenda kumalizana na masomo ili akirudi wanaoana.
Mshkaji aliingia penzini na bintu huyu mtanashati pale Chuo Kikuu, binti akiwa mwaka wa mwisho ktk Bsc. yake ilhali jamaa akiwa ni Asst. Lecturer.
Mrembo kamaliza kisha kuunganisha zake UK kufanya Masters pamoja na Internship ya kamwaka kamoja.
Mawasiliano hayakuwahi kutia mashaka na mipango ya ndoa hadi binti anarudi nchini ipo kama ilivyopangwa miaka kadhaa nyuma.
Kimbembe; Jamaa akiwa amebadilisha kitua cha kazi,
Mrembo karudi Dar.
Wanawasiliana kama kawaida.
Binti karudi nchini kapanga apartment na anaishi pekeyake.
Mshkaji katoka Mkoani kuja kumtembelea 'Mchumba' wake kwa Mara ya kwanza Toka aindoke.
Kumbuka walishatambulishana pande zote mbili za Familia na Pete ya Uchumba juu kwa makamera.
Changamoto;
Jamaa amegundua binti hana utamu wa msisimko kama awali.
Ingawa hawajaonana miaka faragha lakini mmmh!
Hakuna msisimko wala maajabu kabisa.
Katika siku alizokaa Dar jamaa sasa, ikatokea siku binti ametoka kidogo.
Kwenye kuhangaika kwenye Nyumba ya binti humo;
Hammad!
Jamaa kafuma hazina ya nyeti za bandia za kiume,
mzigo wa binti.
Anakuambia kila sampuli ipo,
Nene,nyembamba,fupi, ya Buluu, Nyeusi ,pana za betrii Yaani inatisha nk.
Na Mazingira ni kuwa zinatumika.
Sasa jamaa yupo njia panda, kuwa aendelee na mipango ya ndoa ? Apige chini Demu au wakae wajadili nini cha kufanya.
Hajamuambia binti kuwa ameyaona hayo makorokoro hatahivyo, ushahidi wa Picha na ma-Video jamaa anao.
Nini Ushauri wako kwa jamaa?