Yupo njia panda, afanyeje mwana?

Yupo njia panda, afanyeje mwana?

Ladha imepungua kwani papuchi ni pilau? Akipiga ngome hakojoi? Mwambie hao ni wasaidizi wake tu, ahakikishe wanafanyiwa sterilization ili asipatw magonjwa ya ajabu kutokana na plastiki!

Kwa maoni zaidi utapata kutoka kwa ndugu mwenyekiti mzabzab
 
Kipi ni bora?
1. Angemchiti jamaa
2. Kuwa mwaminifu lkn kwa visaidizi?

Alipaswa kwanza kabisa ampe pole kwa mateso hayo.

Mwisho..najua jamaa yeye alikuwa akijipigia mtaani.
Tuwe tunavaa viatu vya wenzetu tusingelaumu
Kuna kitu mtu anaweza changia had ukajiuliza hv huyu anaishi au amesha wahi kuishi na mwanamke kweli
 
Binti kisu kisu kweli.

Ilikuwa tuupige ' ubeche' wa Harusi miaka minne iliyopita baada tu ya mchumba wake kuhitimu Chuo lakini baada ya kushauriwa mshkaji alilielewa somo na kukubali kuahirisha Ndoa kwa makusudi ya binti kwenda kumalizana na masomo ili akirudi wanaoana.
Sasa sii jamaa amwambie binti anataka kuona anavyovitumia hivyo vipuri....itumike kama part ya foreplay.
 
Me nikajua sijui nini, kumbe saidia fundii😂
 
Wanawake wanafanya hivo Sana ila sisi wanaume dhambi ya kujichua inatajwa Sana kwetu ukweli mgumu wanawake ndo wanaongoza.... hasa wadada wa mjini wanamiliki mpaka hizo dildos
 
Ladha imepungua kwani papuchi ni pilau? Akipiga ngome hakojoi? Mwambie hao ni wasaidizi wake tu, ahakikishe wanafanyiwa sterilization ili asipatw magonjwa ya ajabu kutokana na plastiki!
Kwa maoni zaidi utapata kutoka kwa ndugu mwenyekiti mzabzab
Si unajua kma mtu umemzoea ukimfanyia vitu fulan Kuna kuwa na reaction ....labd feedback ya sasa na awali ni tofauti chief... mtu ukimzoea lazma ujue
 
Unauliza swali jibu unalo.....Alama ya kuuliza kwani hapa tupo kweny mashindano ya imla
Uwe unaandika vizuri basi na mwisho uweke kituo.

Kwani mlisomea wapi nyie watu?
Hapa upo ndani ya Uzi wangu acha uzwazwa.
 
Alafu nkiandika vzuri utanipa bei gani?!.....ww pumbu ety nitoleee ugasho hapa..... Unataka vituo hivo hapo............................vimekushibisha ehh
Nilisomea Yeboyebo la tatu c na kidumu cha maji una lingine jipya tomboka tusikie
Uwe unaandika vizuri basi na mwisho uweke kituo.

Kwani mlisomea wapi nyie watu?
Hapa upo ndani ya Uzi wangu acha uzwazwa.
 
Back
Top Bottom