Yupo Wapi Ally Kamwe kwenye Tamasha la wiki ya Mwananchi?

Yupo Wapi Ally Kamwe kwenye Tamasha la wiki ya Mwananchi?

Mara ya mwisho alionekana kwenye supu
20240804_222444.jpg
 
Nauliza hivyo maana hata msimu uliopita hakuwepo kwahiyo mnavyodandia hoja muje na majibu pia

Unajua hata mimi hii kitu nilikuwa najiuliza, mbona Ally ni kama kawaida yake kutokuwa front siku mwananchi, mana mwaka jana nadhani alikuwepo Kitenge.
 
Screenshot_20240804-234939.jpg

Kwa mkapa ilikuwa full house, imebidi kiongozi wa Yanga aungane na wengine Uhuru tamasha lijalo Priva ataenda Azam complex na Arafat uwanja wa KMC
 
Yu wapi?!
Haja onekana kabisa kwenye Tamasha.
Ally Kamwe amekesha Uwanjani, asubuhi wakakimbia mchakamchaka, wakashinda uwanjani hadi mida ya mchana waki facilitate tukio. Ulitaka awe mstari wa mbele kila eneo? Asiwapishe wenzake na yeye kupumzika kidogo?
 
Dogo kazini kwake kuna kazi.
Maana huyo mpinzani wake.kwa tunguri
 
Ally Kamwe amekesha Uwanjani, asubuhi wakakimbia mchakamchaka, wakashinda uwanjani hadi mida ya mchana waki facilitate tukio. Ulitaka awe mstari wa mbele kila eneo? Asiwapishe wenzake na yeye kupumzika kidogo?
Manara na Ali Kamwe hawaivi chungu kimoja ... Manara anajikomba kwa GSM huku Ali Kamwe ni chawa wa raisi wa timu.
 
Nimependa majibu ya Ally Kamwe ni anajua kuongea sana
Mwandishi anajaribu kuuliza maswali ya kichonganishi lakini dogo anajibu kitaalamu.

Niseme tu kuwa mimi binafsi sijawahi kumkubali Haji Manara kuja kwetu yanga hata kidogo,namuombea Ally Kamwe asijekuharibiwa ugali na huyu malaya wa mpira
 
“Yanga Walikosea kama unaweza kumtafuta Mobetto popote alipo sasa kwanini walishindwa kumtambulisha @alikamwe na kama allishindwa kufika uwanjani hata wangemtaja tuu” -
 
Back
Top Bottom