CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 11,635
- 21,347
Demu wake si ndiyo huyu anachukuliwa na Aziz Ki, dogo ana machungu moyoni, tulimuonya kuwa huyu demu siyo saizi yako kaleta ubishi wa kipare ndiyo hivyo sasa anaugulia maumivuYupo na mke wake bila shaka