Yupo wapi Askofu Gwajima? Mamlaka za kidunia hazifahamu pamoja na kuzingira kanisa

Uponyaji na uzima

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2015
Posts
1,000
Reaction score
2,141
Pamoja na kwamba alikuwepo wakati wanavamia kanisa siku ya jana, bado hawajafanikiwa kumuona.

Taarifa nilizopata ni kwamba anaenda kushusha "press" na wakali wa "Mahanaim" wanatinga mahakamani.

Bila kusahau kwamba mpambano katika ulimwengu wa roho nao unaendelea vikali dhidi ya jezebeli.
 
Duu
 
Gwajima yupo kanisani kwake pamoja na Baadhi ya Maaskofu na wachungaji wa kanisa lake. Wanaendelea kuomba kwa Mungu wa Paulo na Sira. Mwenyezi Mungu ambaye hakawii kujibu, atajibu kwa wakati wake.
 
We nenda kaharishe huo uvundo wako akili ikurudi
 
GWAJIMA Kama ana akili anatakiwa aondoke kabisa nchini kwa kutumia mipaka ya njia za panya ……aende zake Ulaya .
 
Kumbe anaogopa vyombo vya dola.Anawatelekeza wafuasi wake.
 
Naskia Kwenye ile barua wameeandika Wamefungia Glory of christ church na sio Glory of chrst church Tanzania !!hii kusheria imekaaje???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…