Yupo wapi Askofu Gwajima? Mamlaka za kidunia hazifahamu pamoja na kuzingira kanisa

Yupo wapi Askofu Gwajima? Mamlaka za kidunia hazifahamu pamoja na kuzingira kanisa

Pamoja na kwamba alikuwepo wakati wanavamia kanisa siku ya jana, bado hawajafanikiwa kumuona.

Taarifa nilizopata ni kwamba anaenda kushusha "press" na wakali wa "Mahanaim" wanatinga mahakamani.

Bila kusahau kwamba mpambano katika ulimwengu wa roho nao unaendelea vikali dhidi ya jezebeli.
Kwani wapi Serikali imesema inamtafuta huyo Mhuni? Na kama ikimhitaji HAWEZI kujificha Duniani wala Mbinguni!
 
Yuko nje kitambo , subirini tamko zito Leo , jamaa kweli Jasusi namna alivyotoroka ha ha inabidi majasusi wadogo wafundishwe vyuoni
 
Wamemchukua msaidizi wake ili aseme jamaa yuko wapi na akitoa zile video za ushahidi wa mambo ya kutisha na kuogofya sijui itakuaje yani
 
Back
Top Bottom