Mamndenyi
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 43,242
- 60,939
Amepaniki, huwa hawapendi kuambiwa ukweli.Ndio maana huwa sipendi urafiki na watumishi. Umejibu nini hasa hapa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amepaniki, huwa hawapendi kuambiwa ukweli.Ndio maana huwa sipendi urafiki na watumishi. Umejibu nini hasa hapa?
Amepumzika kwenye kasri lake pale njia ya chini Kona Mbezi beach kuelekea mara mara ya Kawe. zamanii tuliliita White House ila naona likadrawal attention ikabidi alibadilishe liwe cream house. Bwana Yesu AsifiweNi mtu wa mwanzo kuanzisha haya mauzauza ya unabii katika kuombea watu . Alivuna za kutosha sasa analia kivulini hizo pesa za mazuzu.
Fisi wanatabia kufuatilia alipo Simba Ili kunyang'anya mawindo yake.MZEE KAKOBE yupo kimya FISI mnataabika na Nini nyie HAYAWANI.Fisi wakimwona simba Hana mawindo wanamkata mkiaUmejibu kwa jaziba mtumishi
Alimtukana Mama Wa Yesu Kristo Bikira Maria Mtakatifu.Yupo humo ndani yes.
Hajaonekana sebuleni kwake zaidi ya miezi sasa.
Yupo HQ anachapa kazi, mlitaka aende KK!!Taarifa za chini zinaelezea kuwa upo uwezekano anaumwa tena hoi vibaya mno.
Afya yake inasemekana ilianza kuyumba baada ya ile event ya TRA kumtembelea na kutoa ripoti ya ucbunguzi wao inayomhusisha mwandani wake na mwanae kujikwapulia mafao ya huduma na kuwekeza huku wakikwepa kodi.
Bila shaka atakuwa ameenda kuongeza Maujanja.ASKOFU wa Kanisa la Full Gospel Bible Felloship (BGBF), Zachary Kakobe yupo wapi?
Ni mwaka wa pili sasa haonekani Kanisani. Hata Mke wake anaweza kuja Kanisani mara Moja kwa mwezi.
Je, kuna aliyemuona Askofu huyu huko mliko au kukutana naye?
Bila shaka atakuwa ameenda kuongeza Maujanja.
Kondoo anawachunga nani hivi sasa?He has gone for recharging/regeneration.
Bado anaomboleza msiba wa nduli magufuli akiwa kanisan kwake mawasiliano barabara ya kawe maana kipindi cha awamu ya tano aligeuka mpiga zumari kama masukuma gang na wale nguruwe wa uvccm.ASKOFU wa Kanisa la Full Gospel Bible Felloship (BGBF), Zachary Kakobe yupo wapi?
Ni mwaka wa pili sasa haonekani Kanisani. Hata Mke wake anaweza kuja Kanisani mara Moja kwa mwezi.
Je, kuna aliyemuona Askofu huyu huko mliko au kukutana naye?
View attachment 2563984
Lengo lilisha timia, amezipiga za wajinga, amepumzika. Hana haja ya kupayuka tena mana alikuwa anjua kuwa anawadanganya wajinga! Nasikia ana jengo matata kwake hata New York halipo 😀 😀 😀 😀ASKOFU wa Kanisa la Full Gospel Bible Felloship (BGBF), Zachary Kakobe yupo wapi?
Ni mwaka wa pili sasa haonekani Kanisani. Hata Mke wake anaweza kuja Kanisani mara Moja kwa mwezi.
Je, kuna aliyemuona Askofu huyu huko mliko au kukutana naye?
View attachment 2563984
Kakobe anachunga kanisa Kubwa sana Dar-Es-Salaam, ambalo ni kanisa mama na amewafundisha yeye mwenyewe na kuwatuma kwenye mashamba ya Bwana zaidi ya wachungaji 700.
Jumapili, tarehe 7 Machi, 1993; aliwatawadha kundi la kwanza la wachungaji 28 (Wachungaji 19 na Wachungaji Wasaidizi 9); na kuwapa mamlaka ya kufungua makanisa tanzu ya kwanza 19 (au makanisa mtoto), katika makao makuu ya mikoa yote 19 iliyokuwepo Tanzania bara enzi hizo; na Februari 2000, Kakobe tayari Kakobe alikuwa amesha anzisha zaidi ya Makanisa tanzu 400 (au Makanisa mtoo) yaliyo tapakaa mikoa na wilaya zote za Tanzania bara.
Ndo wapi?Yupo Vancouver mitaa flani hv maisha yanaendelea
Mji flani hivi upo nchini CanadaNdo wapi?
Safi sana acha apge Hela alizovuna Kwa wajinga,Sasa hvi ni wakati WA mwingine kuvunaLengo lilisha timia, amezipiga za wajinga, amepumzika. Hana haja ya kupayuka tena mana alikuwa anjua kuwa anawadanganya wajinga! Nasikia ana jengo matata kwake hata New York halipo 😀 😀 😀 😀
Sasa zinapigwa na Mwamposa, wajinga bado wengi na wanazidi kuzaliwa!