Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao wajinga waliwahi kuwaomba hela?Safi sana acha apge Hela alizovuna Kwa wajinga,Sasa hvi ni wakati WA mwingine kuvuna
ukabila haufai , acha lugha za kikabila , kutumia ukabila ni ishara ya umaskin wa hojaBado anaomboleza msiba wa nduli magufuli akiwa kanisan kwake mawasiliano barabara ya kawe maana kipindi cha awamu ya tano aligeuka mpiga zumari kama masukuma gang na wale nguruwe wa uvccm.
huyo mtoto wake ni wa mtaani, kabla hajaoa na kabla hajaokoka, enzi hizo kakobe alikuwa kwenye bendi za mziki wa kienyeji huko hajaingia kwenye injili kabisa, na inasemekana hadi miaka ya 2000 alikuwa anasali pale kwake na watu walimjua kamani mtoto wa kakobe, ila alianza tabia za kijinga akafukuzwa, mlevi wa ajabu. mtu kama ameshafika miaka 18 akaleta ujinga, huyo ni mtu mzima, fukuzia mbali kabisa huko. mfano, hivi wewe mtoto wako akiwa shoga, utaendelea kuishi naye au kumsapoti? si unamkana kabisa na kumfuta?Kuna Uzi Fulani uliletwa humu JF mtoto wake wa Kiume nae anamtafuta,hajaonana nae miaka mingi sana na ameandika barua zaidi ya 300 na kuzifikisha Kanisani ila majibu hajapata,ni mtu mzima kidogo,sasa unaweza kuona ilivyo kazi kujua alipo.
ContradictionNa wanaosambaza habari eti kapoteza kumbukumbu, naomba hizo habari msinipe mimi kwani nyie sio wasemaji wa Familia au Kanisa.
Kama anaumwa augue pole ila Kakobe ni Baba yetu wa Kiroho na tunamtegemea kwa Huduma.
Kanisa au Familia ijitokeze iseme yupo wapi ili kuondoa minong'ono isiyo furahisha. Baba yetu yupo wapi?
Niliangalia makazi ya huyu mtu nikajiridhisha hapa Dar hakuna nyumba ya makazi kwa ukubwa kama ya mzee Kakobe. Haipo.Lengo lilisha timia, amezipiga za wajinga, amepumzika. Hana haja ya kupayuka tena mana alikuwa anjua kuwa anawadanganya wajinga! Nasikia ana jengo matata kwake hata New York halipo 😀 😀 😀 😀
Sasa zinapigwa na Mwamposa, wajinga bado wengi na wanazidi kuzaliwa!
Kama atakuwa anaumwa, basi kaugua muda mretu sanaUmofia kwenu.
Wakuu, hivi yupo wapi Askofu Mkuu Zakaria Kakobe?
Hajaonekana Kanisani wala hakuna taarifa yoyote kumhusu kama yupo nje ya nchi tangu Desemba mwaka jana.
Tetesi ni nyingi sana kumhusu.
Mamamae😂😂😂😂😂😂Ndio maana huwa sipendi urafiki na watumishi. Umejibu nini hasa hapa?