Yupo wapi Baba T wa East Africa Radio

Kwanza alienda Ghana kwa mwanae, akazuiwa kurudi kutokana na Corona. Mara ya mwisho alisema anarudi Desemba 2020, sijafuatilia tena kujua kama karudi. Yule alimbiawa afanye kazi hadi atakapoamua mwenyewe kuacha pale East Africa Radio. Hivyo kuna wakati anaamua tu kupumzika, kumbuka kwa sasa ana 83 miaka.
 
Tegeta. Kwa bahati mbaya ni kuwa Awamu ya tano ilikuwa ndivyo sivyo kwake; nikupe mawasialiano naye
Hapana sihitaji mawasiliano nae, ila nltak kufaham yuko wapi na anafanya shughuri gan.
 
ameamua kuuza nyumba yake pale nyaishozi , hajapata mteja bado.Ila akishauza anahamia Ghana moja kwa moja, pia ana issues za work permit ndio maana hasikiki tena .
 
ameamua kuuza nyumba yake pale nyaishozi , hajapata mteja bado.Ila akishauza anahamia Ghana moja kwa moja, pia ana issues za work permit ndio maana hasikiki tena .
Kwani sio raia wa Tanzania?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…