ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
- Thread starter
- #41
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Abba One alikua brother man flan hivi , pia kulikua na jamaa anaitwa MC Napo
Mc napo alienda state akaanza kutengeneza movie
Mededi juz rip kwakeMimi ni mpenzi mkubwa wa muziki wa Reggae, mara nyingi nasikiliza online hasa radio za Kenya mfano Getho radio, Vybyz radio etc.
Kwa Tanzania kipindi cha Lover's Rock cha EA radio kulikua kina nivutia sana na sababu ni moja tu mtangazaji wake Baba T jinsi anavyo host kipindi, matamshi yake pia playlist yake sio Bob Marley na Luck dube kama radio stations zingine.
Kwa hivi karibuni sijamsikia almost miezi sita sasa naomba kufahamu yupo wapi mzee wangu huyu, I really miss him terribly.