Yupo Wapi Barbara wa Clouds Fm

Mr. Marangu

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2013
Posts
1,574
Reaction score
1,549
Ni muda sasa toka mwaka huu uanze hasikiki kwenye kipindi cha Power Break Fast
Mwanamama huyu mwenye haiba ya kiburi na jeuiri mbele ya watangazaji wenzie hajasikika, pengine wanaojua watujuze alipo
Au ndio keshaliwa kichwa pale mjengoni
 
Ni muda sasa toka mwaka huu uanzehasikiki kwenye kipindi cha Power Break Fast
Mwanamama huyu mwenye haiba ya kiburi na jeiri mbele ya watangazaji wenzi hajasikika, pengine wanaojua watujuze alipo
Au ndio keshaliwa kichwa pale mjengoni
Yupo Clouds Tv katika kipindi cha Sentro , yeye kama kiongozi , kipindi hicho kinachoanza saa moja na nusu mpaka saa tatu usiku .
Kikiwa kinarushwa hewani kutoka jumatatu mpaka ijumaa katika juma .

Karibu .
 
Wana kelele wale wamama wawili Babra na Baby hadi kero, mgeni haojiwi vizuri wanakua wanamuuliza maswali na kujijibu wao,

Hata hivyo napenda utangazaji wa Babra kuliko Baby, Baby anatabia ya kumkatisha mtu akiwa anaongea na anataka aongee yeye mwanzo mwisho, hua sipendi kua kwenye mazungumzo na watu wa dizaini yake.
 
Ofcourse wanaboa sana wanachofanya sio taaluma japo kwenye upembuzi wa fikra wa mambo mengi Baby anaonekana kuwa na exposure na vitu vingi ila Babra ni changamoto .

Fuatilia hata mambo ya dini yaani haoni aibu kushabikia mambo mbele ya kamera kitu ambacho si sawa lakini pia bado utangazaji wake anahisi yuko kwenye redio sio Tv kitu ambacho sio sawa .
 
Alikua anakera anazimia microphone watangazaji wenzie
 
Amekaa redion kwa muda wa miaka11 n sawa kwa sasa ila baadae ata zoea
 
Ukiona mtangazaji anataka kuzungumza yeye zaidi jua anakuwa hana utulivu wa kiakili au pengine ana aina fulani ya trauma.
 
Uko sahih Sana Wala ujamuonea anajisahau utadhani yko redioni hopeless Sana

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Wengine ata hatumjui, mpaka mkuu hapo juu aliposema huwa ana kitableti ndo nikajua kumbe ni yule mama mweusi ndo babra aisee
 
Ni muda sasa toka mwaka huu uanze hasikiki kwenye kipindi cha Power Break Fast
Mwanamama huyu mwenye haiba ya kiburi na jeuiri mbele ya watangazaji wenzie hajasikika, pengine wanaojua watujuze alipo
Au ndio keshaliwa kichwa pale mjengoni
Yuko maternity leave
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…